Rais Samia anaongozwa na falsafa gani katika uongozi wake?-1
Kiongozi huongozwa na falsafa ambayo itamsaidia katika kukabiliana na changamoto za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Inambidi awe na hisia ya kujua mahitaji, matakwa na matarajio ya jamii. Je...